Uchaguzi 2020 Zakheim Mbagala: Yaliyojiri kwenye ufunguzi wa kampeni za NCCR-Mageuzi

NCCR wamehudhuria watu wengi kuliko mkutano wa uzinduzi wa Chadema

Nimeamini Chadema 2015 ilibebwa na UKAWA tu haikuwa na nguvu Dar
Weka picha kwa uthibitisho. Otherwuse ni porojo
 
Weee chadema ipi unaiongelea?? Chadema hii hapa au ?
 
Chini ya mwenyekiti Mbatia wakizundua kampeni za kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu 28.10.2020, viwanja vya Mbagala Zakheem ...ila bwana Mbatia ungejikita Vunjo ya mjini tuachie wa kijijini.

Utuuuuuuu......NCCR......
😂😂
 
Angalia idadi ya watu.Chadema ndio hakuna chake mbagala

Kweli umekata pumzi, kwahiyo mgombea urais anashinda kwa kura za Mbagala tu? Kwa taarifa yako mama Maria kaua bendi huko Musoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…