frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
- Thread starter
- #21
Mwingine aongelea jinsi ya ukamataji vitabu vya biblia au quran,asema wengine hawana tohara,kuchangia anachukua muda mfupi muda mwingi anatumia kuelezea mambo ya udhu
Ni shekhe yule nimemuona nimecheke sanaaa, hila kawakilisha mambo ya dini zaidi.