Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Wakati Yanga wanavunja nazi kuwaroga Zalan wewe ulikuwa ukivujiwa na Nazi na nani?au ni yule yule basha wako wa siku zote.Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo