Wakati Yanga wanavunja nazi kuwaroga Zalan wewe ulikuwa ukivujiwa na Nazi na nani?au ni yule yule basha wako wa siku zote.Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Pamoja na Kufanya huo Upuuzi Wote kumbe Kocha Wao Mkuu Nabi hana Vigezo na leo atakuwa tu Jukwaani akiukodolea Mchezo mpaka pale CAF itakapohalalisha Uprofesa Uchwara wake usiokidhi Vigezo vya Kusimama leo katika Touchline kwa Mkapa.Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Sele bonge alikuwa kamshikisha ukutaWakati Yanga wanavunja nazi kuwaroga Zalan wewe ulikuwa ukivujiwa na Nazi na nani?au ni yule yule basha wako wa siku zote.
Acha bhangi mbichiDah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Rage not RugeRuge alisemaje?
Hamna uwezo wa kuwafunga goli 10 nyie.Huko hakuna bahashaMnatafuta sababu mapema ili tukiwafunga zalan goli 10 mpate sababu yakusema tumeroga, uku nyinyi mkipigwa kipigo cha mbwa koko na nyasa big bullet
Bahasha hua tuna wabahashia SimbaHamna uwezo wa kuwafunga goli 10 nyie.Huko hakuna bahasha
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Watu ni wambea sanaDah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Ni wachezaji au viongozi waliokuwa wakivunja hizo nazi?Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Hata hapa Yanga ni biasharaYanga ikifungwa na hyo timu nadhani gsm afikirie kupelea pesa zake katk biashea zake au akafungue kiwanda tu