Zalan vs Yanga kuchezwa Chamazi complex

Zalan vs Yanga kuchezwa Chamazi complex

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali klabu bingwa Africa kati ya Zalan F.C ya Sudani kusini dhidi ya Yanga S.C utachezwa katika uwanja wa Chamazi complex unaomilikiwa na klabu ya Azam F.C tarehe 10 Sept wakati mchezo wa marudiano utapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa tarehe 17 Sept.
N.b Yanga mshindwe wenyewe maana Michezo yote inafanyikia hapa nyumbani
 
Wale wafuga kondoo mbona waliwatoa Simba hapo hapo kwa Mkapa?
 
Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Vipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.

Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
 
Nani kakudanganya? Tafuta wataalamu wakufafañulie aina za dimension za viwanja halafu akuambie hiyo chamazi ni category gani
 
Hii team kama ya wavuvi lakini kuna watu wataonja pumzi ya moto.
tapatalk_843158430_480x360.jpg
tapatalk_-1045326327_264x375.jpg
 
Hv hawa Zalan hata uwanja wowote hawana huko kwao kwa kuchezea mech ya Away.. Waje tu wafungwe na wamalize mechi waendelee na ligi Yao ya mchangani huko kwao
 
Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Uwanja wenye nyasi bandia ni JK youth park na TFF makao makuu ficha ujinga wako

Hakina kiwanja chenye nyasi bandia kinachotumika katika mashindano
 
Vipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.

Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
Tell her
 
Nani kakudanganya? Tafuta wataalamu wakufafañulie aina za dimension za viwanja halafu akuambie hiyo chamazi ni category gani
Wewe ni mtaalam wa Viwanja?

Tulisikia wakaguzi toka CAF na FIFA walisema

Sasa wewe Yanga yango ata uwanja wa kuzugia haina

Unakuja kutupanulia matako apa
 
Vipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.

Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
Mkuu hapa umepuyanga sana uwanja wa azam kidimensions ya pitch ni mdogo kuliko wa taifa (ila unakubalika na caf) na pia uwanja wa azam sio wa Nyasi asili kama ulivyoeleza walichofanya azam ni kubadilisha tu kapeti
 
Back
Top Bottom