mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
sasa km wenyeji waechagua huko je?Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Yanga anahusika vipi na uwanja wa away?Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Kule yanga wenye akili wapo wawili tu, na huyo sio mmoja waoYanga anahusika vipi na uwanja wa away?
Wale wafuga kondoo mbona waliwatoa Simba hapo hapo kwa Mkapa?Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali klabu bingwa Africa kati ya Zalan F.C ya Sudani kusini dhidi ya Yanga S.C utachezwa katika uwanja wa Chamazi complex unaomilikiwa na klabu ya Azam F.C tarehe 10 Sept wakati mchezo wa marudiano utapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa tarehe 17 Sept.
N.b Yanga mshindwe wenyewe maana Michezo yote inafanyikia hapa nyumbani
Vipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Nani kakudanganya? Tafuta wataalamu wakufafañulie aina za dimension za viwanja halafu akuambie hiyo chamazi ni category ganiVipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.
Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
Uwanja wenye nyasi bandia ni JK youth park na TFF makao makuu ficha ujinga wakoNi kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Tell herVipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.
Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
Wewe ni mtaalam wa Viwanja?Nani kakudanganya? Tafuta wataalamu wakufafañulie aina za dimension za viwanja halafu akuambie hiyo chamazi ni category gani
Unaelimishwa, hutaki kuelewa! Basi bakia hivyo hivyo na uelewa wako.Nani kakudanganya? Tafuta wataalamu wakufafañulie aina za dimension za viwanja halafu akuambie hiyo chamazi ni category gani
Ndio siwezi kuchukua muda wangu nalishwa matangopori niseme ndio elimuUnaelimishwa, hutaki kuelewa! Basi bakia hivyo hivyo na uelewa wako.
Mkuu hapa umepuyanga sana uwanja wa azam kidimensions ya pitch ni mdogo kuliko wa taifa (ila unakubalika na caf) na pia uwanja wa azam sio wa Nyasi asili kama ulivyoeleza walichofanya azam ni kubadilisha tu kapetiVipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.
Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
Usidharau timu mpira unadunda...ulitegemea sopu atupige halt trick kule arusha?hio ht sio mechi tujipange dhidi ya Al HILAL tu