Zalan vs Yanga kuchezwa Chamazi complex

Mkuu hapa umepuyanga sana uwanja wa azam kidimensions ya pitch ni mdogo kuliko wa taifa (ila unakubalika na caf) na pia uwanja wa azam sio wa Nyasi asili kama ulivyoeleza walichofanya azam ni kubadilisha tu kapeti
Hamfuatilii vyombo vya habari kwaiyo Azam kusema vile upo sawa walikuwa wanatudanganya?

Wamesema umepimwa mara 3

Unadanganywa majukwaa
 
Hebu ngoja nijaribu kufuatilia tena. Nilivyokuwa najua, kuna vipimo viwili vinavyokubalika na FIFA, hicho cha uwanja wa Azam na Mkapa.

Ngoja nifatilie ntakuja na majibu. Sidhani kama hivyo viwanja (Pitch) vinalinga-Azam na Mkapa!
 
Uwanja wenye nyasi bandia ni JK youth park na TFF makao makuu ficha ujinga wako

Hakina kiwanja chenye nyasi bandia kinachotumika katika mashindano
Kumbe kiwanja cha Azam siyo nyasi bandia? Basi wanajitahidi kuzimwagilia hizo nyasi halisi!
 
Mkuu hapa umepuyanga sana uwanja wa azam kidimensions ya pitch ni mdogo kuliko wa taifa (ila unakubalika na caf) na pia uwanja wa azam sio wa Nyasi asili kama ulivyoeleza walichofanya azam ni kubadilisha tu kapeti
Siku ukija kuamini hiki nikichokisema, bila shaka utajisikia vibaya sana.
 
Poa ila watakutana na wasudan Al Ahal na ndio mwisho wa Yanga
 
Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Kweli Yanga wenye akili ni Sunday na Kikwete tu,sasa jambo ndogo hilo nalo hulijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…