Zalan vs Yanga kuchezwa Chamazi complex

Zalan vs Yanga kuchezwa Chamazi complex

Mkuu hapa umepuyanga sana uwanja wa azam kidimensions ya pitch ni mdogo kuliko wa taifa (ila unakubalika na caf) na pia uwanja wa azam sio wa Nyasi asili kama ulivyoeleza walichofanya azam ni kubadilisha tu kapeti
Hamfuatilii vyombo vya habari kwaiyo Azam kusema vile upo sawa walikuwa wanatudanganya?

Wamesema umepimwa mara 3

Unadanganywa majukwaa
 
Vipimo vya uwanja wa Azam Comlex katika ile sehemu ya kuchezea, vinalingana kwa kila kitu na uwanja wa Mkapa. Tofauti yao ni kwenye majukwaa tu. Lakini pia ile pitch yake kwa sasa ni ya nyasi asili, kama ulivyo uwanja wa Mkapa. Zile nyasi bandia za mwanzo, walishazitoa kitambo.

Kuhusu kwenda kuchezea Chamazi, sababu kubwa ni hao Zalan, kumetokana na kushindwa dau la kukodi uwanja wa Mkapa! Waliambiwa watoe milioni 40 za Kitanzania, wakaishia kung'aza ng'aza tu macho. Bila shaka wamepata unafuu kwenye uwanja wa Azam.
Hebu ngoja nijaribu kufuatilia tena. Nilivyokuwa najua, kuna vipimo viwili vinavyokubalika na FIFA, hicho cha uwanja wa Azam na Mkapa.

Ngoja nifatilie ntakuja na majibu. Sidhani kama hivyo viwanja (Pitch) vinalinga-Azam na Mkapa!
 
Uwanja wenye nyasi bandia ni JK youth park na TFF makao makuu ficha ujinga wako

Hakina kiwanja chenye nyasi bandia kinachotumika katika mashindano
Kumbe kiwanja cha Azam siyo nyasi bandia? Basi wanajitahidi kuzimwagilia hizo nyasi halisi!
 
Mkuu hapa umepuyanga sana uwanja wa azam kidimensions ya pitch ni mdogo kuliko wa taifa (ila unakubalika na caf) na pia uwanja wa azam sio wa Nyasi asili kama ulivyoeleza walichofanya azam ni kubadilisha tu kapeti
Siku ukija kuamini hiki nikichokisema, bila shaka utajisikia vibaya sana.
 
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali klabu bingwa Africa kati ya Zalan F.C ya Sudani kusini dhidi ya Yanga S.C utachezwa katika uwanja wa Chamazi complex unaomilikiwa na klabu ya Azam F.C tarehe 10 Sept wakati mchezo wa marudiano utapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa tarehe 17 Sept.
N.b Yanga mshindwe wenyewe maana Michezo yote inafanyikia hapa nyumbani
Poa ila watakutana na wasudan Al Ahal na ndio mwisho wa Yanga
 
Ni kosa kubwa sana la ķijinai wanakubali yanga ,kwenda kuchezea kwenye ka uwanja kadogo cha academy cha nyasi bandia ambacho hakitatoa nafasi wachezaji kuwakimbiza na kuonyesha ufundi
Kweli Yanga wenye akili ni Sunday na Kikwete tu,sasa jambo ndogo hilo nalo hulijui?
 
Back
Top Bottom