Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I have the audacity to take this as a compliment, turn the intended jab into a glorious compliment.
Angemuunga mkono kisiri angekuwa bado ame m endorse ?
Ukimuunga mkono mtu bila kutangaza, umemuunga mkono kati yenu wawili tu, je umem endorse ?
Maana unaweza kumuunga mkono mtu bila kutangaza ati, hiyo nayo ni endorsement ?
nijuavyo:
kukiwa na choice mbili ambayo moja unaiunga mkono na ukataka watu pia waiunge mkono choice ile ......hapo ni kupendekeza
tatizo hapa huyu blogger hajatwambia kuwa na sisi tumfate slaa, kasema yeye tu anamfata.....itabidi nibaki na kumuunga mkono
Kiranga
Nimekwambia maths si sawa na linguistic kuwa tutaelezana humu hadi ni prove kama mnavyofanya wewe Nyani Ngabu na Gaijin kwenye linguistic. Kwa waliosoma maths wanaweza kukuelewa kuwa maths huwezi kusoma umelala kitandani unatakiwa uwe na kalamu na karatasi au uwe ubaoni. Therefore i cant be able to make a proof here.
Naweza kusema ukiweka bumper sticker ya "Obama Biden '12" una wa endorse -pendekeza- hawa watu (take that Nyani) na wala huhitaji kuweka sababu zako ili endorsement hii iwe kamili.
There is the differnce between "kupendekeza" na "ku support"
It certainly was not a jab...however you can take it in whichever way you like.
Ndio.
Ndio.
Angalia context babu.....context, context, context.....au nirudie tena kusema context?
Ukimuunga mkono mtu kisiri una m endorse kwa nani ?
Maana kum endorse mtu ni lazima umu endorse kwa mtu/ watu fulani, sasa ukimuunga mkono kisiri umemu endorse kwa nani ?
........hivi huwezi kumuunga mtu mkono kwa dhahiri? ( hapa kwanza tuweke nje neno endorse)
kuna maneno hayana maana ya moja kwa moja kwa lugha nyengine ............naona na hili endorse ni moja wapo.
kwa sababu ya mtazamo wako hasiMambo ya kawaida haya, cha ajabu sijakiona bado!
........hivi huwezi kumuunga mtu mkono kwa dhahiri? ( hapa kwanza tuweke nje neno endorse)
Kiranga hataki kukubali hilo.
Endorse is to make a public statement of your approval or support for something or someone( hapa kwanza tuweke nje neno endorse)
Wewe nawe bana aaah. Kwani endorse ina maana moja tu? Si nimesema inatumika kulingana na context? Au sijasema hivyo? Sasa ukimuunga mkono kisiri siri hiyo ina maana umem-endorse/ umekubalia yale anayoyahubiri. Mzingatio upo kwenye context.
Kum endorse mtu sio lazima um endorse kwa mtu bana. Again, unashindwa kuangalia context. Hilo ndio tatizo lako. Nenda lunch mazee ndio mida mida hii...
Endorse is to make a public statement of your approval or support for something or someone
kwani vipi mbona limetumika vizuri na kufisha ujumbe, ama lah basi tuseme kiswanglish hakihitajiki
Unaweza, ukisema namkubali Slaa na sera zake ukapost kwenye blog, umemuunga mkono Slaa kwa dhahiri.
Ukisema namkubali Slaa na sera zake, mpigieni kura Slaa, umemuunga mkono na kumpendekeza Slaa.
Ukisema una mu endorse Slaa maana yake ni kwamba zaidi ya kumuunga mkono, unampendekeza.Hata kama ukimuunga mkono kwa dhahiri lakini usiposema kwa wazi kwamba unataka watu wampigie kura (thin line here, and still somethings can be between the lines buit let's simplify for argument's sake) ukisema kwa dhahiri kwamba unapenda positions za Slaa, lakini usipowataka watu wampigie kura wazi, utakuwa umempenda Slaa ila hujampendekeza, umem support ila huja m endorse.