Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa

Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa

I have the audacity to take this as a compliment, turn the intended jab into a glorious compliment.

It certainly was not a jab...however you can take it in whichever way you like.

Angemuunga mkono kisiri angekuwa bado ame m endorse ?

Ndio.

Ukimuunga mkono mtu bila kutangaza, umemuunga mkono kati yenu wawili tu, je umem endorse ?

Ndio.

Maana unaweza kumuunga mkono mtu bila kutangaza ati, hiyo nayo ni endorsement ?

Angalia context babu.....context, context, context.....au nirudie tena kusema context?
 
nijuavyo:

kukiwa na choice mbili ambayo moja unaiunga mkono na ukataka watu pia waiunge mkono choice ile ......hapo ni kupendekeza

tatizo hapa huyu blogger hajatwambia kuwa na sisi tumfate slaa, kasema yeye tu anamfata.....itabidi nibaki na kumuunga mkono

Ku endorse mtu si lazima useme sababu, itakuwa vizuri kufanya hivyo, utaonekana unajua unachosema, lakini si lazima.

Naweza kusema ukiweka bumper sticker ya "Obama Biden '12" una wa endorse -pendekeza- hawa watu (take that Nyani) na wala huhitaji kuweka sababu zako ili endorsement hii iwe kamili.

On the other hand unaweza kuchangia kampeni kimya kimya, ukawa umewaunga mkono lakini hujawa endorse.

There is the differnce between "kupendekeza" (endorse) na "kuungs mkono" ( support)
 
Kiranga

Nimekwambia maths si sawa na linguistic kuwa tutaelezana humu hadi ni prove kama mnavyofanya wewe Nyani Ngabu na Gaijin kwenye linguistic. Kwa waliosoma maths wanaweza kukuelewa kuwa maths huwezi kusoma umelala kitandani unatakiwa uwe na kalamu na karatasi au uwe ubaoni. Therefore i cant be able to make a proof here.

quinine kwa kuwa watu wana discuss language ndio unafikiri hawajasoma maths? watu walishaachana na math hizo za Euclidean na Mahalanobis distance zama nyingi sana..........sasa wanaongea kwenye fuzzy clusters na neural networks tena!

hapo kwenye Red naweza kukwambia hivi .........experience yako na wenzio wachache usiifanye ndio kipimo cha usomaji math. unaweza ukasoma kitandani, huku unatizama tv na ukaelewa vile vile.
 
Naweza kusema ukiweka bumper sticker ya "Obama Biden '12" una wa endorse -pendekeza- hawa watu (take that Nyani) na wala huhitaji kuweka sababu zako ili endorsement hii iwe kamili.

Don't make me go there and start on Imam Obama....

There is the differnce between "kupendekeza" na "ku support"

Na tofauti hiyo inategemea na context kitu ambacho wewe hutaki kukiona.
 
It certainly was not a jab...however you can take it in whichever way you like.

Ndio.

Ndio.

Angalia context babu.....context, context, context.....au nirudie tena kusema context?

Ukimuunga mkono mtu kisiri una m endorse kwa nani ?

Maana kum endorse mtu ni lazima umu endorse kwa mtu/ watu fulani, sasa ukimuunga mkono kisiri umemu endorse kwa nani ?

Context gani hii? Mimi hata siongelei ku endorse a check, which would still be in context.

Original question ni, nini maana ya "endorse" katika Kiswahili, sasa kama kakoroga ni swala jingine.
 
........hivi huwezi kumuunga mtu mkono kwa dhahiri? ( hapa kwanza tuweke nje neno endorse)
 
Ukimuunga mkono mtu kisiri una m endorse kwa nani ?

Wewe nawe bana aaah. Kwani endorse ina maana moja tu? Si nimesema inatumika kulingana na context? Au sijasema hivyo? Sasa ukimuunga mkono kisiri siri hiyo ina maana umem-endorse/ umekubalia yale anayoyahubiri. Mzingatio upo kwenye context.

Maana kum endorse mtu ni lazima umu endorse kwa mtu/ watu fulani, sasa ukimuunga mkono kisiri umemu endorse kwa nani ?

Kum endorse mtu sio lazima um endorse kwa mtu bana. Again, unashindwa kuangalia context. Hilo ndio tatizo lako. Nenda lunch mazee ndio mida mida hii...
 
kuna maneno hayana maana ya moja kwa moja kwa lugha nyengine ............naona na hili endorse ni moja wapo.
 
Labda mpaka tule wali kwa ndizi matangani ndo utajua kuwa afya ya kiongozi si siri. unatambua ila basi tu unataka tukusome na wewe umesema
 
........hivi huwezi kumuunga mtu mkono kwa dhahiri? ( hapa kwanza tuweke nje neno endorse)

Unaweza, ukisema namkubali Slaa na sera zake ukapost kwenye blog, umemuunga mkono Slaa kwa dhahiri.

Ukisema namkubali Slaa na sera zake, mpigieni kura Slaa, umemuunga mkono na kumpendekeza Slaa.

Ukisema una mu endorse Slaa maana yake ni kwamba zaidi ya kumuunga mkono, unampendekeza.Hata kama ukimuunga mkono kwa dhahiri lakini usiposema kwa wazi kwamba unataka watu wampigie kura (thin line here, and still somethings can be between the lines buit let's simplify for argument's sake) ukisema kwa dhahiri kwamba unapenda positions za Slaa, lakini usipowataka watu wampigie kura wazi, utakuwa umempenda Slaa ila hujampendekeza, umem support ila huja m endorse.
 
Kiranga hataki kukubali hilo.

Actually I was the first one not to point that out, but to give the underlying socio-political reason behind this, nikasema kwamba system yetu ya kisiasa ilikuwa top down na endorsement hazikuwa common hivyo.

Nikasema ninachotafuta ni the closest match, nikatoa mpaka hypothetical percents 80 and 90, kwa hiyo kusema mimi sikubali hili si haki.
 
( hapa kwanza tuweke nje neno endorse)
Endorse is to make a public statement of your approval or support for something or someone

kwani vipi mbona limetumika vizuri na kufisha ujumbe, ama lah basi tuseme kiswanglish hakihitajiki
 
Haya sasa kumekucha hapa maana naona na Anyisile Obheli naye ndani ya nyumba...
 
Wewe nawe bana aaah. Kwani endorse ina maana moja tu? Si nimesema inatumika kulingana na context? Au sijasema hivyo? Sasa ukimuunga mkono kisiri siri hiyo ina maana umem-endorse/ umekubalia yale anayoyahubiri. Mzingatio upo kwenye context.

Kum endorse mtu sio lazima um endorse kwa mtu bana. Again, unashindwa kuangalia context. Hilo ndio tatizo lako. Nenda lunch mazee ndio mida mida hii...

Nenda kamwambie Slaa naku endorse lakini simwambii mtu na wewe usimwambie mtu uone reaction. Ataona huyu jamaa anatafuta nini?

Unapo endorse check with your signature, una endorse ili iende kwa mtu au ibaki na wewe tu?

Unapo endorse political candidate una endorse na kutangaza au una endorse na kukaa kimya tu ?

Kwa nini hao wenye blog wametangaza? Si wangekaa kimya tu ?
 
Mkuu nashukuru sana kwa ujasiri wako.
yaani nilichgundua wafanyabiashara wengi sana wanaiogopa ccm.
m2 anapandisha kaghrofa kake Pale Dar juu ameweka Bendera ya ccm.
Nina uhakika 100% most of you mnatumia hizo bendera kama protection.
 
Endorse is to make a public statement of your approval or support for something or someone

kwani vipi mbona limetumika vizuri na kufisha ujumbe, ama lah basi tuseme kiswanglish hakihitajiki

Mimi nilisema kwa mtu anayetaka kutuambia anaweza kumpendekeza mgombea urais awe rais, angalau aijue lugha yetu. Akituchanganyia lugha tutaona kapotelea ughaibuni mpaka kasahau Kiswahili, atajuaje kiongozi yupi mzuri kwetu ?

Ndipo nikauliza, neno endorse kwa Kiswahili ni nini?

Nashukuru umeleta hiyo definition inayo stress the public aspect of endorsement, kwa sababu kuna watu wanasema unaweza kumu endorse mtu kisiri siri hapa.
 
Unaweza, ukisema namkubali Slaa na sera zake ukapost kwenye blog, umemuunga mkono Slaa kwa dhahiri.

Ukisema namkubali Slaa na sera zake, mpigieni kura Slaa, umemuunga mkono na kumpendekeza Slaa.

Ukisema una mu endorse Slaa maana yake ni kwamba zaidi ya kumuunga mkono, unampendekeza.Hata kama ukimuunga mkono kwa dhahiri lakini usiposema kwa wazi kwamba unataka watu wampigie kura (thin line here, and still somethings can be between the lines buit let's simplify for argument's sake) ukisema kwa dhahiri kwamba unapenda positions za Slaa, lakini usipowataka watu wampigie kura wazi, utakuwa umempenda Slaa ila hujampendekeza, umem support ila huja m endorse.

baasi ................mie ushanipa jibu linaloniridhisha. 🙂
 
Back
Top Bottom