Zama Zama kikundi kinacho sumbua africa ya kusini kuliko M23

Zama Zama kikundi kinacho sumbua africa ya kusini kuliko M23

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Zama Zama ni neno litokalo kabila la hausa kwa kngereza (To be).ila kwa kizuru(Try Try).

South africa imebarikiwa kuwa na uchimbaji mkubwa wa dhahabu na migodi mikubwa inayozalisha madini ya dhahabu.
kutokana na upatikanaji mkubwa wa dhahabu nchini south africa,ukilitimba wa wachimbaji wa dogo umewafanya kuishi kama kundi la kiharifu ambalo aliwezi kutulizwa na askari wa kawaida kama tulivozoea.

zama zama ni wachimbaji wasio na vibari ambao wamejitolea lolote liwalo mpaka kufikia kumiliki silaha nzito ili kutobuguziwa tu na mamlaka.

kikundi hiki kinaweza kuvamia migodi iliyofungwa au inayoendelea kupitia chini ya ardhi.aina zama zama wengine wakianzisha machimbo madogo ambayo hayana vibari kwa ajili ya kuchimba dhahabu.

Uwezi kuwazuia kwa njia ya kawaida .
Je ? nini kinapelekea ili nchi kubwa south africa kusiwa kuwatambua wachimbaji wadogo.
imagsssses.jpg
imagssssses.jpg
 
Hao wanadekezwa na Chama tawala, maana ndio wapiga Kura wao, vinginevyo wawaruhusu Wawekezaji kuwatandika risasi za mik.undu uone Kama kuna Zamazama atabak
Kichwa kama puto la kichina, kuwauwa ndio kutatua tatizo

USSR
 
Hao wanadekezwa na Chama tawala, maana ndio wapiga Kura wao, vinginevyo wawaruhusu Wawekezaji kuwatandika risasi za mik.undu uone Kama kuna Zamazama atabak
Wewe omba mungu isitokee bongo. Nigeria taifa kubwa limeshindwa kudhibiti Boko haramu.East Africa imeshindwa kuwamaliza Alshabaab na sasa msumbiji kuna ISIS.
 
Back
Top Bottom