Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa!
Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana,
Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili!
Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae hata hajui what is biology anapata. Division 3,
Mtoto ambae hata simultaneously equation hajui lakini anapata division 3!
Mtoto ambae hata kuandika INSHA hajui lakini kapata Division 3,
Yaani nikitathimini wale waliokuwa wanapata zero zaman au four ya zamani sahivi ni sawa na division 2 na 3 ya sasa!
Nini kimebadilika?