Kama ulifeli ww waache watoto wafauluKusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa!
Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana,
Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili!
Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae hata hajui what is biology anapata. Division 3,
Mtoto ambae hata simultaneously equation hajui lakini anapata division 3!
Mtoto ambae hata kuandika INSHA hajui lakini kapata Division 3,
Yaani sahivi siyo ajabu kitoto kijinga kijinga kuambiwa kimepata Division 3!
Sielewi Division ya zamani
Nimeuliza kipi kimebadilika? Je wamebadilisha kipimio?Kama ulifeli ww waache watoto wafaulu
Umewapimaje?Nimeuliza kipi kimebadilika? Je wamebadilisha kipimio?
Ndio wamebadilisha,Nimeuliza kipi kimebadilika? Je wamebadilisha kipimio?
Umri pia zamani jitu lina miaka 18 bado liko shule ya msingi bichwa limezeeka .Maisha magumu nyumbani .Lishe duni.Hamna vyakula vya kujenga ubongo .Nimeuliza kipi kimebadilika? Je wamebadilisha kipimio?
Nimeandika hapo mtoto hajui hata what is civics anapataje division 3? Mtoto ukimuuliza hata kuandika barua hajui...hiyo division 3anaipataje?Umewapimaje?
Hapo sawa mkuuNimrandika hapo mtoto hajui hata what is civics anapataje division 3? Mtoto ukimuuliza hata kuandika barua hajui...hiyo division 3anaipataje?
Kuna shida kwenye hii elimu haiwezekana mambo ya kama hivyo yaani mtu div 3 hajui vitu vingi vya mhimu anaipataje hiyo division?Umri pia zamani jitu lina miaka 18 bado liko shule ya msingi bichwa limezeeka .Maisha magumu nyumbani .Lishe duni.Hamna vyakula vya kujenga ubongo .
Mazingira ya kusomea duni
Zamani kuipata three ilikua siyo masihara ..hata mtoto ukimuuliza unaona kabida mtoto anajua vitu! Lakini sahiv mtoto ng'ombe kabisa anatusua division 3Ilikuwa ngumu kuipata ila rahisi kupata kazi tena unachagua mwenyewe.
Sahivi rahisi kupata lakini utakuta haina maana yoyote.
Weewewe ndio ilikushinda ndugu usiweke ujumla
Aaah!...sio kweli bhana....Yaani nikitathimini wale waliokuwa wanapata zero zaman au four ya zamani sahivi ni sawa na division 2 na 3 ya sasa!
Umeelewa au umekimbilia kujibu.Kama ulifeli ww waache watoto wafaulu
Inakuwaje mtoto sahv anapata division 3 akati hajui. Chochote kichwaniAaah!...sio kweli bhana....