Zamani ilikuwa raha sana

Zamani ilikuwa raha sana

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habarini wana cit chat
Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo tarehe 25 July mkutane kituo cha basi (mfano Manzese) yeye barua anaipata mwezi wa nne, anakujibu kakubari na majibu unayapata mwezi wa tano unafurahi kinoma.

Sasa kimbembe kinakuja hiyo tarehe 25 yeye anaudhuru haji unaganda kituoni mpaka jioni, Halafu mwezi August mwishoni unapata barua ya kukujlisha kuwa siku ile alishindwa kuja kwa mjomba wake kulikuwa na msiba anakupa pole na kukuomba siku ya X-mass mkutane pale pale kituoni. Kwa hiyo unaendeleza chaputa unasubiri X-mass
 
Umenikumbusha mbali sana,
Niliwahi andika barua ya tongozo January,binti akaipata March shuleni kwao Maswa,akanijibu vizuri tu tena kwa bashasha na mbwembwe kibao.......tukaja kuonana mwezi June kabla ya ile barua kufika,
July mwishoni nikaletewa barua ile ya majibu class na teacher mmoja mnoko ile mbaya na lundo la fimbo.....akaisoma mbele ya darasa mwanzo mwisho,
doh ilikuwa bounge moja la noma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀😀😀😀😀
 
Habarini wana cit chat
Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo tarehe 25 July mkutane kituo cha basi (mfano Manzese) yeye barua anaipata mwezi wa nne, anakujibu kakubari na majibu unayapata mwezi wa tano unafurahi kinoma.
Sasa kimbembe kinakuja hiyo tarehe 25 yeye anaudhuru haji unaganda kituoni mpaka jioni, Halafu mwezi August mwishoni unapata barua ya kukujlisha kuwa siku ile alishindwa kuja kwa mjomba wake kulikuwa na msiba anakupa pole na kukuomba siku ya X-mass mkutane pale pale kituoni. Kwa hiyo unaendeleza chaputa unasubiri X-mass
Ilikuwa raha walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh sisi wa Nokia jeneza ngoja tupate changamoto mlizo pitia wahenga [emoji3]
 
Umenikumbusha Ndanda boy wazee wa Kilimanjaro bweni lisiloisha watu hata kama assemble wawe wanagawa hela!!!!!
 
Nishawahi kumtumia demu barua ya kumtongoza kipindi nasoma tosamaganga ilipofika shuleni kwao swilla walimwita akasomewa ofisini kimbembe kilikua hapa akaulizwa unamtaka au humtaki
 
  • Thanks
Reactions: Abx
Back
Top Bottom