Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habarini wana cit chat
Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo tarehe 25 July mkutane kituo cha basi (mfano Manzese) yeye barua anaipata mwezi wa nne, anakujibu kakubari na majibu unayapata mwezi wa tano unafurahi kinoma.
Sasa kimbembe kinakuja hiyo tarehe 25 yeye anaudhuru haji unaganda kituoni mpaka jioni, Halafu mwezi August mwishoni unapata barua ya kukujlisha kuwa siku ile alishindwa kuja kwa mjomba wake kulikuwa na msiba anakupa pole na kukuomba siku ya X-mass mkutane pale pale kituoni. Kwa hiyo unaendeleza chaputa unasubiri X-mass