Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Waambie hao Swahiba.Yanga atujawahi kupotea misimu 2 mfululizo
Waache tu mikia wajipe moyo,next season tunakuja kivingine kabisaWaambie hao Swahiba.
Timu gani bora iliyo mkoani kwa mfano?
Mtibwa Sugar, Tz Prison.Timu gani bora iliyo mkoani kwa mfano?
Kwa hali inavyoendelea hapo klabuni kwetu naona kuanzia wachezaji, benchi la ufundi mpaka viongozi hakuna anayejali wala kujivunia Yanga. Sasa tunafungwa hovyo hovyo na timu za kawaida kabisa tena mfululizo.
Hakuna anayejali. Katika mechi tisa zilizopita za mashindano Yanga imepoteza mechi sita, sare mbili na kushinda moja. Hii Yanga kweli timu ya wananchi?? Kweli?? Afadhali wangeshuka daraja kabisa..... No spirit, no fight, no hunger. Yanga hii nembo ya uhuru na taifa hili... kweli inakuwa hivi?...khaaaahhhh.
umeisahau Lipuli mkuu...Usijivunje moyo kijana, Yanga si timu ya maana, ni sawa tu na timu zingine za Premier League. Miaka yote walikuwa wanabebwa tu. Kama TFF wakiwa makini na marefa wao usije kushangaza both Simba na Yanga zinashuka daraja. Zenyewe ni timu kongwe hapa nchini ila si bora kama wananchi wengi wanavyofikiria, just angalia uchezaji wao then linganisha na vipaji kama vile Ndanda, Singida United, Mbeya City....hapa ndipo utashangaa kwanini hizi timu kongwe si lolote si chochote.
Na Mikia alicheza kihalali siku ile tu na Kagera Sugar.Kwa sasa ushindi inakuwa ngumu.. hakuna mtu wa kupaka Grease team pinzani.. hakuna mtu wa kupaka Grease marefarii.. lazima vyuma vibane . kwa sasa mpira ni uwanjani na watu woooote wanaona unachezwa live kabisa bila chenga.