Meridian BIAO BANK walikuwa na bonge LA Tangazo! Yaani lazima ushawishike pole sana mkuu😀Hii benki ilikimbia na pesa za watu kadhaa...vikiwemo vijisenti vyangu....
Nikaomba ushauri kqa mwanasheria fefenge kwamba tuishtaki benki kuu kwa manake wao ndio the last resort...
Yule mwanaaheria akaniambia achana na hayo mambo kwamba Mungu atanilupa.
Alisema haya baada ya kupata uhakika kwamba ule mchongo kulikuwa na walubwa fulani fulani..Leo hii baadhi weshakufa(walidhani wangeishi kwa dhuluma).
Anyway kwa sasa CRDB?? SINA SWALI HAPA NITALOGA WATU....STAND BY....
Ahaa!..Jamani ni bank gani imedukuliwa?
Bank zote zina bima, watulipe pesa yetu bila hata riba tutawaelewaNasikia Kuna bank imepigwa na wadukuzi
Ipi hiyo mkuuNasikia Kuna bank imepigwa na wadukuzi
Ndio maana nimeulizaIpi hiyo mkuu
Bank ingekua inarogeka isingekaa na hela nyingi kiasi kileSINA SWALI HAPA NITALOGA WATU....STAND BY....
Unaposema ulikuwa ni mchongo wa wakubwa na sasa wameshakufa, walidhani wataishi kwa dhulma.Hii benki ilikimbia na pesa za watu kadhaa...vikiwemo vijisenti vyangu....
Nikaomba ushauri kqa mwanasheria fefenge kwamba tuishtaki benki kuu kwa manake wao ndio the last resort...
Yule mwanaaheria akaniambia achana na hayo mambo kwamba Mungu atanilupa.
Alisema haya baada ya kupata uhakika kwamba ule mchongo kulikuwa na walubwa fulani fulani..Leo hii baadhi weshakufa(walidhani wangeishi kwa dhuluma).
Anyway kwa sasa CRDB?? SINA SWALI HAPA NITALOGA WATU....STAND BY....
Kolojuani au sio?Naroga watu sio Bank....aliyeshiriki....aliyepewa....wooote kama kurujuan....hivi vitu vipo....hata watani zangu(wanyalu) wanaita TEGO
Jamani ni bank gani imedukuliwa?