Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,340
- 1,599
maandishi ya terms and conditions, agreements na kadhalika huwa marefuu halafu yana font ndogo, na kiingereza au kiswahili fulani complicated kama leo. Ai iliponiambia chukua zinzi kaanga kula ilikuongeza zinc, nakuja kuambiwa zinzi ni Oyster teh teh si ni Pweza jamani.