Pweza sio octopus?maandishi ya terms and conditions, agreements na kadhalika huwa marefuu halafu yana font ndogo, na kiingereza au kiswahili fulani complicated kama leo. Ai iliponiambia chukua zinzi kaanga kula ilikuongeza zinc, nakuja kuambiwa zinzi ni Oyster teh teh si ni Pweza jamani.
Mwanangu hapo mwisho umegonga codes matata umetuacha patupu. ππmaandishi ya terms and conditions, agreements na kadhalika huwa marefuu halafu yana font ndogo, na kiingereza au kiswahili fulani complicated kama leo. Ai iliponiambia chukua zinzi kaanga kula ilikuongeza zinc, nakuja kuambiwa zinzi ni Oyster teh teh si ni Pweza jamani.
ni kweli pweza ni octopusPweza sio octopus?
NANI HAFI ?Leo hii baadhi weshakufa(walidhani wangeishi kwa dhuluma).
Kolo Juani ndio inakuaje inapita mpaka na mifugo km Kimbunga cha Anna?Naam shehee