Zamani maisha yalikuwa rahisi; ukibishana na mtu mnakutana watu wawili mnayamaliza

Zamani maisha yalikuwa rahisi; ukibishana na mtu mnakutana watu wawili mnayamaliza

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Lakini hizi njia za kutanzua matatizo zimekuwa out of fashion. Siku hizi watu wamestaarabika au, ndio tunavyofikiri? Tunadhani watu hawagombani siku hizi lakini hakuna kilichobadilika.

On the one hand watu wanapigana na marungu kama savages wa zamani au siku hizi wanapigana na silaha za kisasa lakini kuna watu wengine inadhaniwa wanaishi kwa amani, kumbe hawaishi kwa amani.

Fitina mahali pa kazi, mambo ya kitoto, tabia za chekechea mahalo pa kazi, kupigana vijembe, chokochoko, kumbambikiana kesi: haya yote ni tabia za Stone Age, zinarudi kwa mlango wa nyuma.

Eti siku hizi yapo makundi ya usanii ,kama Kaole Sanaa Group ,ambayo yanawaburudisha watu na hizi chokochoko.

Halafu watoto huwezi kuwabandua kwenye hizo runinga,wanakuambia,"Ingekuwa ina matatizo yoyote,serikali isingeruhusu".
 
Mod inaelekea hujui maana ya "mtu mbili". Mtu mbili ni ugomvi wa mtaani ambapo watu wanapigana na haruhisiwi mtu kuamua.
Sasa,mod,nimeandika "mtu mbili",we unaandika "watu wawili"
 
Back
Top Bottom