The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Nyakati zimebadilika kwelikweli, zamani mtu masikini alithaminiwa sana na kuonwa mtu wa kupewa msaada lakini sasa hali ni tofauti nahisi ubepari umeptiliza.
Karne hii masikini anahenyeshwa kweli kweli siyo serikalini, kanisani wala msikitini matajiri wanazidi kutajirika masikini wanazidi kuwa masikini zaidi.
Ama kweli Masikini anatumia gharama na nguvu kubwa kufanya matajiri na mafisadi kuwa matajiri zaidi kwa kulipa kodi kubwa na kutumikishwa.
Ewe mwanachui amka kataa utumwa.