Nyakati zimebadilika kwelikweli, zamani mtu maskini alithaminiwa sana na kuonwa mtu wa kupewa msaada lakini sasa hali ni tofauti nahisi ubepari umeptiliza.
Karne hii maskini anahenyeshwa kweli kweli siyo serikalini , kanisani wala mskitini matajiri wanazidi kutajirika maskini wanazidi kuwa maskini zaidi.
Ama kweli Maskini anatumia gharama na nguvu kubwa kufanya matajiri na mafisadi kuwa matajiri zaidi kwa kulipa kodi kubwa na kutumikishwa.
Ewe mwanachui amka kataa utumwa.