Zamani na sasa

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Zamani bwana binti anapelekwa kuanza darsa la kwanza ana miaka 14 kifuani ana mtindi wa haja au kijana na besi lake
Siku hizi katoto kakijua kutembea tu tayari kanaenda shule

Zamani ni lazima ukikuta kundi la watu wamekaa pamoja either kwenye vyombo vya usafiri au mtaani kuwe na mada inajadiliwa..
Siku hizi kila mmoja unamkuta kainama yupo busy anapangusa kioo cha simu

Zamani kumtongoza binti hadi umkule ilikua kazi.. Lakini siku hizi unamla siku hiyohiyo masaa machache baada ya kumtongoza

Zamani ukimchumbia binti atawekwa ndani kufundwa mpaka muoane ndo utamshika
Lakini siku hizi wanachezeana wee huko mpaka chaga zinavunjika na mimba anabeba ndo anakuja kuchumbia.. Na akishatoa mahari bado mtanange unaendelea.wazazi hamna la kufanya

Zamani mwanamke mjamzito alitakiwa akae ndani.. Sio kuzurula ili kumuepusha mtoto kupigwa makombora na wanga wa mtaani
Ila siku hizi mjamzito kiguru na njia.. Na anapiga picha tumbo likiwa wazi na kuwasambazia hadhira

Ongezea yako



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani kulikuwa hakuna ma ambaruti siku hizi kuwa ambaruti ni sifa wanaume wanakupigania
 
Zamani ukiwa na passport ya Tanzania unatembea kifua mbele,siku hizi mmmmmm ,unakaribishwa kwa wasiwasi na kukaguliwa mwishoni kwa ukaguzi mkali.
 
Zamani nyumba za kulala wageni zilikuwa zinaonekana ni sehemu za ajabu sana mwenyeji kuonekana sehemu zile..............
 
Zamani wadada/wanawake weusi walikuwa wengi sasa hivi wanatatafutwa kwa tochi

Zamani wowowo/ngongingo zilikuwa naturally sasahivi kuna made in China ngongingo.
 
Umenikumbushaa Zamani(Zamani za mleta mada kama alivyonena) sana.

Filamu ya Yesu ilikuwa hatari kipindi cha mateso watu hoi kwa vilio huku Mwana wa daudi Yesu Mnazaleti akisema Eloi Eloi Lama Sabakthani..??

Akifufuka tu basi full shangweee na furaha tele.

Zamani hizo,zamani hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…