Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Zamani bwana binti anapelekwa kuanza darsa la kwanza ana miaka 14 kifuani ana mtindi wa haja au kijana na besi lake
Siku hizi katoto kakijua kutembea tu tayari kanaenda shule
Zamani ni lazima ukikuta kundi la watu wamekaa pamoja either kwenye vyombo vya usafiri au mtaani kuwe na mada inajadiliwa..
Siku hizi kila mmoja unamkuta kainama yupo busy anapangusa kioo cha simu
Zamani kumtongoza binti hadi umkule ilikua kazi.. Lakini siku hizi unamla siku hiyohiyo masaa machache baada ya kumtongoza
Zamani ukimchumbia binti atawekwa ndani kufundwa mpaka muoane ndo utamshika
Lakini siku hizi wanachezeana wee huko mpaka chaga zinavunjika na mimba anabeba ndo anakuja kuchumbia.. Na akishatoa mahari bado mtanange unaendelea.wazazi hamna la kufanya
Zamani mwanamke mjamzito alitakiwa akae ndani.. Sio kuzurula ili kumuepusha mtoto kupigwa makombora na wanga wa mtaani
Ila siku hizi mjamzito kiguru na njia.. Na anapiga picha tumbo likiwa wazi na kuwasambazia hadhira
Ongezea yako
Sent using Jamii Forums mobile app