Maendeleo Hayana Chama
dah kama ulikuwa unapata nguvu ya kwenda kucheza kabisa mkuu hiyo itakuwa zamani za juzi,Zamani hizo.
Ukipikwa Ubwabwa basi tabasamu tele uso mzima,
Ukirudi toka shule jioni unakuta mchele wapepetwa basi unakwenda kucheza soka mtaani huku ukiwa na furaha tele na energy ya kutosha unapiga vyenga sana ndani ya uwanja wengine wanakuita black maradona huku lakini kichwani unapicha kamili ya ubwabwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
zamani za kale hizo kwenye projekta 😂😂Umenikumbushaa Zamani(Zamani za mleta mada kama alivyonena) sana.
Filamu ya Yesu ilikuwa hatari kipindi cha mateso watu hoi kwa vilio huku Mwana wa daudi Yesu Mnazaleti akisema Eloi Eloi Lama Sabakthani..??
Akifufuka tu basi full shangweee na furaha tele.
Zamani hizo,zamani hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaZaman kama sasa hv nmeshakuja pm ila diku hzi hapa hapa kwenye uzi tunamalizana
dah kama ulikuwa unapata nguvu ya kwenda kucheza kabisa mkuu hiyo itakuwa zamani za juzi,
Hapo zamani za kale ukisikia tuu ni wali , utaoga mwenyewe, huondoki nyumbani , marafiki zako wakija kucheza unajidai unaumwa, Huondoki jikoni
Ha ha haha ha sasa hii si ilikua zaman na ilikua pm, siku hz itabd nianze na mmoja wapo
Ha ha haha ha sasa hii si ilikua zaman na ilikua pm, siku hz itabd nianze na mmoja wapo
Ha ha ha ha unaweza kuwa hata wewe
Hili Jibu maana yake ndio
Zamani miaka ya 67 walikuwa wanakuja warugaruga kukamata kodi ya kichwa. Watu waliwekwa jela kwa miezi mitatu kulipia halafu wanasubiri next year kukamatwa only for 5 shs. ambayo kuipata ilikuwa shida.Zamani watu tulilipa kodi ya kichwa na maisha yalikuwa nafuu ila siku hizi hatulipi kodi ya kichwa ila tunalipa kodi nyingine nyingi mpaka kodi ya pumzi.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha na nilikua nataka tu utoe jibu kati ya ndio au hapana
Haha hapanaaHa ha ha ha ha na nilikua nataka tu utoe jibu kati ya ndio au hapana