Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Zamani hizo.
Ukipikwa Ubwabwa basi tabasamu tele uso mzima,
Ukirudi toka shule jioni unakuta mchele wapepetwa basi unakwenda kucheza soka mtaani huku ukiwa na furaha tele na energy ya kutosha unapiga vyenga sana ndani ya uwanja wengine wanakuita black maradona huku lakini kichwani unapicha kamili ya ubwabwa..
Sent using Jamii Forums mobile app