Zamani na Sasa

Zamani na Sasa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mama zetu, enzi hizo, hawakulaza watoto kwenye matoroli. Mtoto alibebwa mgongoni au kifuani. Utamaduni huu umethibitika kusaidia kujenga ukaribu na watoto.

Tabia zetu nyingi zenye utu—kujali, kupenda, kuelewa hisia na kuumizwa na maumivu ya mwingine—zinaanza na hakikisho la uwepo mzazi kimwili kwa mtoto. Usiache kumbeba mtoto. Usiache kumkumbatia mtoto.
 
Mbona zamani watu walikuwa wanatembea uchi sasa hivi wanavaa nguo hilo husemi? Nataka kusema kuwa nyakati zinabadilika ,tuishi kulingana na wakati
 
Mama zetu, enzi hizo, hawakulaza watoto kwenye matoroli. Mtoto alibebwa mgongoni au kifuani. Utamaduni huu umethibitika kusaidia kujenga ukaribu na watoto.

Tabia zetu nyingi zenye utu—kujali, kupenda, kuelewa hisia na kuumizwa na maumivu ya mwingine—zinaanza na hakikisho la uwepo mzazi kimwili kwa mtoto. Usiache kumbeba mtoto. Usiache kumkumbatia mtoto.
Ukisasa umeharibu sana utambeba,utamlea,atakula,atavaa,atasoma atakuwa mtu mzima all in all asili ni asili na inaathiriwa na vitu vingi sana kulingana na dunia inavyoenda kisasa.
 
Mapenzi yameamia kwenye Simu..Mtoto ata,kumbatiwa na Bek3
 
Back
Top Bottom