Habari zenu bas bwana miaka ya nyuma nirikua nikienda posta kufata vipaseli vya kununua au mzgo kira mtu nirikutana nae nirijuwa ni mwanaJamiiForums.
Yaan kira niromuona ofsi za posta nirijua ni mtu wa jf niridhan kira anayechukua mzgo posta umetumwa kutoka nje au kanunua onrine bas ni mwanajeyfii.
Kingine kuna picha nikihona mtu kaweka kwenye plofile popote akiri inanitumia ni MwanaJF
Bas kira ariyenifata watssp nirijua ni mtu wa jf wedandi
Hata warourizia ire hatiatuneli plus nirijuwa ni wanajf s mnaijuwa hatiaytunel eeh
Kuna picha hata wazungu fran akiwekwa najuwa ni mtu wa JF.
Sasa niereze na wew unamuonaje mtu ukamdhan ni mjeyfi?Mimi nirishahona posta kira ofsi ya posta na kira watssap na kira hatieytunnel prus
Kuna siku nirishataman jf iwe nchi hulu niingiye humo au riwe taifa tuzame kwenye cm tuishi huko nchini JF kuingia onrine haina mahana kama hamuungii kwer kwa vitendo yaani kuzama kwenye hyo intanet kuingia hapo ndan na kuzamia kabisa munaona humo humo mfano mtu anapozamia kwenye rikisima au yare mabawa ya kuogerea unazama na rikichwa niritaman jf iwe ni zame hapo nipotereye humo mahana huko dunian panachosha bora JF ingerikua inchi tu.