Zamani nilidhani wasaidizi wa Rais ni most senior officials hadi pale nilipoona wanateuliwa kuwa wakurugenzi na wakuu wa Wilaya

Zamani nilidhani wasaidizi wa Rais ni most senior officials hadi pale nilipoona wanateuliwa kuwa wakurugenzi na wakuu wa Wilaya

Huku Afrika uongozi si swala la weledi bali swala unamjua nani kwa wakati gani, una manufaa gani kwa nani aliekuwa sehemu gani.

Viongozi wengi wa kuteuliwa wapo katika nafasi zao sio sababu ya upeo wao bali utashi wa mamlaka ya uteuzi.

Na kutokana na hili ndio maana hata wao wenyewe hawaoni kuwa ni demotion mathalan kutoka mkuu wa TISS mpaka kwenda kuwa katibu mkuu wa wizara.

Mimi nitaandamana mpaka kuzimu leo hii ukiniambia mtu kama Chalamila ndio the best pick ya kuwa mkuu wa mkoa, ila ndio ishakuwa utashi wa mamlaka kuwa mlevi asiekuwa na staha wala weledi awe mkuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom