Kipepe muwindaji ila Hakuna windo anapata kutwa yeye majanga
Pimbi huyu anatongoza ila ambulii kitu
Professor ndumilakuwila yaani huyu ni mwizi Atari toka aende dar mwaka 1982 mpaka Leo analala chini
Sukununu huyu sometimes ni mmbea mpekunyuzi
Kifimbo cheza huyu mzee ni mnoku sana alifanya wahuni wasiongee kwa amani maana alikuwa anavizia maskani na fimbo zake anawasikiliza mkiaribu lugha mtakipata ila aliacha baaada ya kuvamia sipo unajua alifanyaje? Basi fatilia
Madenge huyu dogo sio bure atakuwa anavuta bangi si kwa vituko vile mda wote anatembea na manati yake ameivaa shingoni
Lodilofa huyu jamaa anajikuta sana na kigari chake kile kitakuwa ni ist ana majibu ya shombo namfananisha na jamaa Fulani humu jamvini unajua ni Nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.