Zamani title ya Profesa (PhD) ilikuwa inaheshimika sana

mwanawao

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
3,192
Reaction score
5,743
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!!😢😢😢
 
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!!😢😢
 
Sasa kama musukuma na yeye ni PhD "holoda" unadhani zita heshimika tena
 
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!![emoji22][emoji22]
Andiko lako lipo GENERAL SANA. UNGEENDA KWENYE POINT
 
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!!😢😢
Kuwa na akili nzuri ni kitu kimoja na kusoma hadi kuhitimu ngazi mbali mbali za elimu ni kingine.
Wasiojua huviona kama kimoja na wewe ulikuwa mmoja wao.
Ni vizuri umeujua huo ukweli.
Hata hivyo, wapo wasomi wenye akili nzuri na wasio nayo, vivyo hivyo kwa wasiosoma.
 
Degree is not skill,is just a manila sheet.kabla ya 9/11.Wasomi wengi wa marekani(ma Dr na professors) hawakujua kama ndege ni silaha.baada ya 9/11.wakapata Somo.🤣🤣🤣
 
Mtu akisha ingia kwenye siasa hasa CCM
Akilizo zote na usomi wake unafafubaa kabisa

Welcome to Jumanji [emoji16]
 
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!!😢😢
Si kweli. Inatagemea na uelewa wako na hao maprof na madaktari njaa. Wapo madaktari na maprof wa kweli. Achana na hawa wanasiasa na wasomi uchwara. Wasomi wa kweli hufanya tafiti za kuisadia jamii na si kukilimbilia vyeo vya kisiasa ili kuiibia na kuiumiza jamii. Usikatishwe tamaa na akina Kabudi mabingwa wa kukariri lakini wasiojua kitu. Hawa ni makorofesa siyo maprofesa. Achana na hata wale wanaotumia udaktari wa heshima wakati hawana uwezo wa kuusotea. Nakuelewa kuwa umeongea kwa kukata tamaa na hasira.
 
... vyovyote vile but Ibrahim Haruna Lipumba is one of the most respected professors katika ukanda huu. Ni full bright visiting professor university moja huko Marekani kama sijakosea.
 
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!![emoji22][emoji22]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's.

Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba!

Nimegundua kuwa makaratasi yanayoitwa vyeti vya Phd's ni bure kabisa!!

Hawa watu ni hovyo kuwekwa kwenye uongozi wa nchi!! Hovyo kabisa!![emoji22][emoji22][emoji22]
Sasa hivi hawana tofauti na panyaroad wa vingunguti
 
Back
Top Bottom