Zamani ukisikia mjane fikra inakutuma ni mama wa makamo

Zamani ukisikia mjane fikra inakutuma ni mama wa makamo

Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko.

Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
Mjane : Anakuwa kashafiwa mme wake hii haina umri unaweza olewa leo kesho mme wako akapata ajari akafa unakuwa mjane.

Hope unazungumzia single mother?

Kama ndio basi mtoe kwenye wajane huyo ni malaya tu hapaswi kabisa kuhurumiwa kwa aina yoyote ile
Single mother ni laana
 
Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko.

Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
Mauaji ya MO29 yamezalisha wajane wengi sana
 
Dhana ya ujane mara nyini ni wamama watu wazima ambao wamefiwa na waume zao na kuolewa tena ni shughuli pevu huku hawana uwezo mkubwa wa kuendesha maisha yao ni ya kubangaiza tu. Sasa binti atakuwaje mjane wakati bado ana mvuto wa kuolewa tena? Kuna wamama wana uwezo mkubwa wa kiuchumi walioachiwa na waume zao hawana shida hapo dhana ya ujane inaingiaje wakati huyo mama anaweza kupata tena jibaba la kumsukutua kutoa ugwadu? Hadhi ya ujane ipo na inajitanabaisha yenyewe
 
Hata binti anakuwa mjane akifiwa na mumewe. Ila akiolewa tena anakuwa si mjane.
 
Hata binti anakuwa mjane akifiwa na mumewe. Ila akiolewa tena anakuwa si mjane.
ni kweli anakuwa mjane temporary au permanent akitaka kuishi hivyo. Mabinti wengi huolewa faster pindi wanapofiwa na waume zao maisha ya ujane hawayaishi
 
Mjane hailazimu kuwa umri fulani. Mjane ni mwanamke aliefiwa na mumewe. Hata 18yeras old aliefiwa na mumewe ni mjane.

Ni kweli maana kwa jamii nyingi ni hiyo.
Ni kama neno Yatima.

Lakini kifalsafa Mjane sio tuu kufiwa na mume bali kigezo cha umri, hali ya maisha(ufukara). Huyo ndio Mjane.
 
Boda wanavyopukutika wakiwa 20s ni lazima wajane wawe kwenye early 20s pia.

Kuna 29/10/2025 imetengeneza wajane wa kutosha tena mabinti wadogo kabisa.
 
Ni maandamano ya Dec 29, sa100 kawatuma polisi kupukutisha vijana, mabinti wadogo wamekuwa wajane ghafula.
 
MJANE KIMANTIKI NI MAMA WA MIAKA 40-70 AMBAYE AMEFIWA NA MUME NA HUYO MUME ALIKUWA NDO MAIN PROVIDER.

NI SAWA NA YATIMA

ABOVE 18 WEWE SIO YATIMA NA YATIMA ANAHESABIKA YULE ALIYEFIWA na provider wake.
 
Back
Top Bottom