Zamani ukiwa unasafiri kwenda Dar hulali usiku

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sijui shida ilikuwa nini yaani ukiwa unasafiri na bus haswa kwenda dar tuseme bus linaondoka saa 12 asubuhi basi usiku unapata mawenge usingizi hauji kabisa Ila siku hizi ukiwa na safari ya kesho saa 12 hupati mapepe wala wasiwasi wa kuachwa na gari unalala fresh tu hata ikibidi pombe unakunywa.

Nini kimesababisha mabadiliko hayo?
 
Zamani ipi?
 
Umeshapajua unapofikia Kuna siku nilienda kupanda ndege na bukta mwanzo nikajua wale jamaa huwa wanaigiza at first nililipuka sana kimavazi baadae nikaja kushangaa automatic naangalia muda ndege itaondoka naondoka kwangu na pensi sendo na begi ukishazoea huwa hivyo
 
Sema mabraza nao walitudanganya sana bn, unapigwa kamba mpaka unahis dar ni kama NY
 
Sasa hivi hali imegeuka mkiwa mnasafir kuja Zanzibar ndio hamlali usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…