Rion Jr
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 623
- 691
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya mungano wa Tanzania. Sakata la mtoto wa shule ya Pandahill leo limekumbusha miaka ya 2000’s kabla technology haijawa kubwa kulikuwa na matukio mengi sana ya wadada kutoroshwa na wanaume na kwenda kuanza maisha Kusiko julikana.
Waliowahi shudia hayo matukio njoo kwa jiran njoo utambie ilikuwaje ?
Waliowahi shudia hayo matukio njoo kwa jiran njoo utambie ilikuwaje ?