Zamani wash basin ilikua ni karai na jug la maji

Fikiria hakukua na mabomba ndani, kabla hujalala unahakikisha una maji yako ya kunawa chumbani. Hata maisha waliyaachaa takriban miaka 100 iliyopita. Afrika bado tunayaishi.
Ni kweli kabisa sikuizi ni kuweka mafriji mpaka vyumbani kuvutishana magesi hovyo tuu wakati tulikuwa na mitungi yetu unawekwa kwenye kona moja maji baridii 🤣 🤣
 
Ni kweli kabisa sikuizi ni kuweka mafriji mpaka vyumbani kuvutishana magesi hovyo tuu wakati tulikuwa na mitungi yetu unawekwa kwenye kona moja maji baridii 🤣 🤣
Inaokoa muda pia, ule muda ambao ungetembea kutafuta maji unaweza kuutumia kumwagilia mchicha na nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…