Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
 
Binafsi nilisoma Shule ya Msingi Mapambano karibu na Afrika Sana Sinza na mtoto wa IGP enzi hizo Solomon Liani!
 
Hayo ni matokeo ya kuwa na katiba na sheria mbovu ambazo zinanufaisha kundi la watu wachache tu na kuwatelekeza wengi. Mapungufu makubwa yaliyopo ndiyo yenye kuchochea na hata kupelekea uwepo wa "gap" kubwa kati ya wenye nacho wale wasiokuwa nacho.

Wakati katiba yetu bado inazungumzia dhana ya sera za ujamaa na kujitegemea, kiuhalisia sera zetu ni za kibepari. Hapo ni lazima utarajie uwepo wa matabaka kati ya wale wachache ambao wanafaidi keki ya taifa na wengi ambao ni maskini wakutupwa pamoja na familia zao ambao wametengwa na kuonekana ni tabaka la chini, lenye laana, na pia ambalo halipaswi hata kula makombo ya wenye nacho.

Watanzania wanapaswa kuamka sasa hasa kundi kubwa la Gen Z. CCM imekuwa ni mzigo mzito na mateso makubwq kwa wananchi waliokuwa wengi. Muda wa kujiondoa kutoka katika nira na makucha yake ni sasa.
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Ni sera tu. Bwashee, Elimu Haina upebari Wala ujamaa. Chama kile kina sera nzuri za usawa wa kielimu kiunge mkiono kidhinde
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
International School, haiwaandai watoto kuja kutafuta ajira, inawanaadaa kuja kusimamia Projects za wazazi wao, Huku St Kayumba ndio mnaandaliwa kuja kuw askari Magareza ,Police na Walimu
 
Tutafute hela jamani,tuache kulalamika kila jambo
Kulalamika ni Muhimu wewe mjinga,
Tutafute hela jamani,tuache kulalamika kila jambo
1720848190409.png
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Sema enzi hizo Kabla elimu haijawa biashara.

Enzi hizo ili uende kusomea ualimu ulitakiwa upate marks za juu kabisa. Enzi hizo siasa zilikua ni wito usio na masikahi binafsi. Enzi hizo Wabunge wanapanda basi kwenda bungeni kuhudhuria vikao vya bunge, wakitaka kwenda kutembelea wananchi majimboni au kufuatilia miradi ya kimarndeleo walikuwa wanaomba gari halmashauri
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄

Mbowe kwani alisoma? Hivi kupata Div 0 ya Form 6 nae kasoma? Acheni kudharau elimu kiasi hiki, please. Mbowe alienda shuleni kusindikiza wengine ila hajasoma, hii muelewe vema.
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
HIVI MBOWE NA UKOO WAKE WOTE WANA UTAJIRI GANI HAPA TANZANIA NA MALAWI WALIKOTOKEA?
 
Back
Top Bottom