Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

Hayo ni matokeo ya kuwa na katiba na sheria mbovu ambazo zinanufaisha kundi la watu wachache tu na kuwatelekeza wengi. Mapungufu makubwa yaliyopo ndiyo yenye kuchochea na hata kupelekea uwepo wa "gap" kubwa kati ya wenye nacho wale wasiokuwa nacho.

Wakati katiba yetu bado inazungumzia dhana ya sera za ujamaa na kujitegemea, kiuhalisia sera zetu ni za kibepari. Hapo ni lazima utarajie uwepo wa matabaka kati ya wale wachache ambao wanafaidi keki ya taifa na wengi ambao ni maskini wakutupwa pamoja na familia zao ambao wametengwa na kuonekana ni tabaka la chini, lenye laana, na pia ambalo halipaswi hata kula makombo ya wenye nacho.

Watanzania wanapaswa kuamka sasa hasa kundi kubwa la Gen Z. CCM imekuwa ni mzigo mzito na mateso makubwq kwa wananchi waliokuwa wengi. Muda wa kujiondoa kutoka katika nira na makucha yake ni sasa.
Mkuu toa ujinga wa katiba hapa
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Academic azikuwepoo wwwe
 
Na ww mwenye mawazo ya sabato njema tukuweke kundi gani?
 
Mbowe kwani alisoma? Hivi kupata Div 0 ya Form 6 nae kasoma? Acheni kudharau elimu kiasi hiki, please. Mbowe alienda shuleni kusindikiza wengine ila hajasoma, hii muelewe vema.
Maskini mna tabu sana mpaka akili zimejaa umaskini.

Mbowe anaongoza maprofesa na PhD holders achilia fukara kama wewe ambaye mkichanga pesa ukoo mzima hamfikii uchumi anaomiliki Mbowe.
 
RSiku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
International school wengi wao ni wafanya biashara na wala uwa hawana shobo na political vacancies.
 
Back
Top Bottom