johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Binafsi nilisoma Shule ya Msingi Mapambano karibu na Afrika Sana Sinza na mtoto wa IGP enzi hizo Solomon Liani!Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Ni sera tu. Bwashee, Elimu Haina upebari Wala ujamaa. Chama kile kina sera nzuri za usawa wa kielimu kiunge mkiono kidhindeSiku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
International School, haiwaandai watoto kuja kutafuta ajira, inawanaadaa kuja kusimamia Projects za wazazi wao, Huku St Kayumba ndio mnaandaliwa kuja kuw askari Magareza ,Police na WalimuSiku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Kulalamika ni Muhimu wewe mjinga,Tutafute hela jamani,tuache kulalamika kila jambo
Tutafute hela jamani,tuache kulalamika kila jambo
Saw mwerevu ubarikiwe
Sema enzi hizo Kabla elimu haijawa biashara.Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Ni watoto wa Nyerere tu ndio walibaki maskini viongozi wengine wote waliobaki wamerithisha watoto wao vyeo na utajiri.Hivi watoto wa Riz 1 wanaweza kufa masikini?
Angepata 0 angeajiriwa BoT?Mbowe kwani alisoma? Hivi kupata Div 0 ya Form 6 nae kasoma? Acheni kudharau elimu kiasi hiki, please. Mbowe alienda shuleni kusindikiza wengine ila hajasoma, hii muelewe vema.
HIVI MBOWE NA UKOO WAKE WOTE WANA UTAJIRI GANI HAPA TANZANIA NA MALAWI WALIKOTOKEA?Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ