Zamani yako,siku kama ya leo

dogo_mjuaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
222
Reaction score
48
Mimi nakumbuka ikifika idd jana yake tumetoka kuchagua nguo enzi hizo nina raba zangu flan kampuni nike zilikuwa zinawaka taa, nakumbuka kwa upande wa dada zetu na mahousgel nao wanapaka wanja na kukoleza wanatuchukua wanatupeleka kama ni beach au popote tutapopafurahia alafu wenyewe wanakwenda kwa wachumba zao (mabraza nyie) mnawatoa guest wamechanganyikiwa kesho utasikia mtoto fulani kaokotwa alipotea ..sherehe siku hazina mvuto.

Enzi hzo me na kund langu tupo km wanne me nimepewa sh,120. Hao hatuna habari tupo serious tunakwenda kutembea mjini.

Alafu hata sio zamani sana hata enzi za mkapa haya maisha tumepitia,..aisee kikwete ameingiza taifa kwenye maisha mapya..nyie kwenu sikukuu ilikuwajegi
 
Msaidie dawa huyu jamaa. Haiwezekani post ya 2015 mchangiaji wa kwanza 2016 September [emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa imeshapatikana ndio maana post imefufuka
 
Kupatwa kwa dogo mjuaji! Kauzi kamekondaaaa!
 
Kupatwa kwa dogo mjuaji! Kauzi kamekondaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ananyota ya ukame...unajua thread ina mwaka na miezi miwili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ananyota ya ukame...unajua thread ina mwaka na miezi miwili
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huyu jamaa lazima kajitoa jf mwaka na miezi 2 ndio kwanza inaonekana thread yake. Tena mtu wa kwanza kujibu mshana jr. Mkuu Mshana jr au uliipiga dumba hii thread ikapotea leo ndio umeiwachia huru[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…