dogo_mjuaji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 222
- 48
Mimi nakumbuka ikifika idd jana yake tumetoka kuchagua nguo enzi hizo nina raba zangu flan kampuni nike zilikuwa zinawaka taa, nakumbuka kwa upande wa dada zetu na mahousgel nao wanapaka wanja na kukoleza wanatuchukua wanatupeleka kama ni beach au popote tutapopafurahia alafu wenyewe wanakwenda kwa wachumba zao (mabraza nyie) mnawatoa guest wamechanganyikiwa kesho utasikia mtoto fulani kaokotwa alipotea ..sherehe siku hazina mvuto.
Enzi hzo me na kund langu tupo km wanne me nimepewa sh,120. Hao hatuna habari tupo serious tunakwenda kutembea mjini.
Alafu hata sio zamani sana hata enzi za mkapa haya maisha tumepitia,..aisee kikwete ameingiza taifa kwenye maisha mapya..nyie kwenu sikukuu ilikuwajegi