nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Kuna post leo inatembea Instagram na maelezo nusunusu, basi wanavyo ipaisha inaonekana kama Zamaradi ndo katengeneza filamu kali inayokuja kuleta mapinduzi.
Huyo mwandishi wa filamu hiyo myenyewe sijui ni mbongo aitwaye John Kay anaishi Australi na yeye kachangia maujinga kutujaza ujinga
Ukweli huu hapa;
Filamu inaitwa 'Cop's Enemy' iliingizwa rasmi sokoni mwaka 2017 ikichezwa Australia, Van Vicker akiwepo na Wema kipande kidogo
Leo Zamaradi anatoa anaeleza akijinadi inaenda Netflix, are you sure Zamaradi? I can't wait labda itafuata nyayo za 'Lion Heart' ya Genevieve
Sema tu ukweli sio filamu yako au ni kipindi kipya cha tamthilia kinaanza?
Huyo mwandishi mbongo na yeye kabadili kava ili kumuweka Aunt ezekiel na Wema waonekane kwenye kava wakati kava halisi hawakuwepo?
Swali ni kwamba hawa wadada walienda lini Australia kuigiza tusione mashauzi au ni vipande vimeungwa ungwa toka huku?
Filamu imdb ipo rated 6.7 ila walio 'i-rate' ni watu 11 tu bila shaka ni kikosi kilichotengeneza hiyo filamu wamejipa alama wenyewe
Kwa macho ya harakaharaka hii ni filamu nzuri ila kwa level za netflix bado sana, sawa huwezi ukalinganisha na za kibongo ila jamani acheni kugeuza watu wajinga. Instagram wanavyoshangilia eti Zama kaleta mabadiliko na Bwana Manara na yeye anaunga humohumo
Aibu kwenu, sipendagi kudanganywa mie
Hivi Zamaradi filamu inaweza kuwa imeingia sokoni kwenye kumbi za kuonesha filamu ikakaa miaka miwili, Netflix wakainunua?
So far West African movie iliyonunuliwa kwa Bilion 4 ni 'Lion Heart' ya Genevieve tu
facebook page yake hii hapa; https://web.facebook.com/Copsenemy/?_rdc=1&_rdr
imdb link: Cop's Enemy (2017) - IMDb
Original cover la 2017
Cover linaloshangiliwa instagram leo, huhitaji kuwa na degree ya rocket science kujua limekaa ki amateur sana lengo ni kuwehusha watu.
Samahani Zamaradi kawadanganye wengine,, sio mimi