Zamaradi acha kupotosha umma, filamu ya Corp's Enemy iliingizwa sokoni mwaka 2017 ikiwa imechezewa nchini Australia

Mbona majina ya Aunty na Wema wapo kwenye orodha tangu awali? hebu fafanua hapo.
 
Majina ya Aunty na Wema yapo kwenye orodha ya washiriki tangu awali? inamaanisha wapo ndani ya mpango.
 
Hahaha hii cover mimi nilishaionaga kitambo Sana mbona ...duhh ndio maana nilijitoaga insta na ku-unstole app yao ... kwa sababu ya mambo kama haya hakijinga jinga na upuuzi " ....

Na hakika uamuzi wangu sikuwa nimekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mleta mada ana chuki zake na Zamaradi manake alichosema Zamaradi na alichowasilisha yeye hapa ni vitu viwili tofauti!
kawakilisha nini?uliwakilisha nini?ni franchise hii?watu wataona kiti tofauti na kilichoonekana 2017?ni kwa vipi hii kazi inaleta mapinduzi bongo?
 
kawakilisha nini?uliwakilisha nini?ni franchise hii?watu wataona kiti tofauti na kilichoonekana 2017?ni kwa vipi hii kazi inaleta mapinduzi bongo?
We jamaa acha ushamba wewe! Kuwa namultiple release dates haimaanishi ni filamu tofauti na ujuha wako huo!!! Kumbe ndo maana umenga'ng'ania suala la Franchise wakati nimesema wazi kwamba ni Star Wars- Last Jedi! Last Jedi ni ile ile; iwe imekuwa released Los Angeles, New York, London, Sydney or elsewhere lakini ingawaje ni ile ile, bado kunakuwa na multiple release dates ingawaje siku moja inaweza kuwa released kwenye mji/nchi zaidi ya moja!!!
 
Hivi hawezi kushtakiwa huyu Zama kwa hii fix?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawezi kushtakiwa huyu Zama kwa hii fix?

Sent using Jamii Forums mobile app
weeeeee, wafuasi milioni 3 instagram wanaomshangilia unadhani kitu kidogo?hapo subiri tu kuna sponsors wanaingizwa kibla,wine ya zamani inawekwa kwenye chupa mpya tutaambiwa ni kazi ya wabongo wameshirikiana na wa nje.nachukia sana uongo wa kitoto hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…