Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Wadau, muhindi 'steps entertainment' wameshusha bei za filamu zao kutoka shilling elfu 3 mpaka shilling 1000.

Huyu muhindi ni mfanyabiashara kama alivyo Joseph Kusaga wa clouds, anaamua hela ya kuuza films kama anavyoamua Kusaga na Ruge bei za kuwalipa wasanii wanavyopanda show za fiesta.

Cha kushangaza Zamaradi mketema amemshikia bango muhindi mpaka kwenda kumsemea kwa 'baba'. Hii ishu ameigeuza maada kuu kwenye clouds leo hii. Anapinga muhindi kushusha bei ya filamu za kibongo eti itaua soko la filamu. Itaua soko la filamu au itaua kikampuni chake cha kwenye bahasha?? Anawalaumu kina JB kwa kusimama upande wa Steps, kina JB wanakosa gani si wanaangalia maslahi yao? kama yanafikiwa kwa nini wasimsapoti muhindi! Hii ni kama tu wale wasanii wanaopanda steji ya fiesta kwa laki moja ilihali Kusaga anatengeneza billions kutumia wao.

Amefikia mbali kiasi cha kuitupia lawama BASATA eti hawana wanachofanya eti hawana msaada, watafanya nini na nyie ndio wa kwanz! kuwadharau, juzi tu hapa waliwapa amri msimtumie Davido na kuwaonyesha dharau mkamtumia bila wasiwasi wowote. Leo ndio unajua umuhimu wa Basata!?

Zamaradi na watu wako nawashauri acheni kupiga kelele, mwacheni afanye biashara yake as long as hajavunja sheria yoyote. Kwanza ni mlipa kodi mzuri sana kuliko vikampuni vyenu vya mfukoni.

Pili, hamna filamu za kutuuzia raia shilling elfu 3 mia tano. Mnatuibia sana sababu hizo filamu zenu hazina quality hata ya kutuuzia elfu moja.

Zamaradi nakushauri acha kelele, shindana kihalali kama unataka kuingia kwenye hii biashara vizuri. Usitumie power ya media yenu kuingilia biashara za wengine.
 
Hata mtitu naye kashikilia hili bango. But this is a free market, sijui hawalioni hilo...
 
Who is zamaradi by the way?? Since ever she became ruge's mistress na yeye amekuwa msemaji wa hii nchi?? Hajui tuko kwenye Trade liberalization.... Supply and demand ziachwe zidhibiti soko. Atakaeshindwa akae pembeni.
 
Who is zamaradi by the way?? Since ever she became ruge's mistress na yeye amekuwa msemaji wa hii nchi?? Hajui tuko kwenye Trade liberalization.... Supply and demand ziachwe zidhibiti soko. Atakaeshindwa akae pembeni.

Mwambie huyooo
 
Ukizungumzia "wadosi" namkumbuka mtu mzima SUGU.....Long time kitambo alishaonya mwenendo wa muziki kinyonyaji......zamu ya wauza sura sasa......
 
Kwani lazima wakamuuzie mdosi(steps) kama wanajiamini wakomae kivyao nyambafu zao tegemezi wakubwa hawa.
 
Nanuugaga sh 5000 huku mkoani kumbe ningeeenda Steps ningepata kwa sh 3000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…