Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

He he nipo busy na sikukuu... Nasubiri movie zako zianze niigize km mama kayaiiii .sjui bado unanunua story nikuuzie moja?
Mama Kayaiii, come on, unaleta masihara eh wakati mwenzio nipo serious 100%... shauri yako! Stori sinunui coz' screenwriting ndio eneo langu la kujidai... hata hivyo, nikishaanza rasmi, am very certain kwamba lazima nitahitaji back up ya ukweli coz' my idea ni kufanya serial movie!! But all in all, kama kweli ni screenwriter, umewahi kujaribu ku-enter any well known screenwriting contest? You may not win lakini inaweza kuku-shape ile mbaya!! My assumption here ni kwamba unatumia industrial format...
 
Poleni nyie mnaosikiliza hiyo clouds fm radio ya wafu. Bora kusikiliza E FM.
 
We ndo chizi kabisa... unaonekana umekalilishwa na wajinga wenzio. Yaani unataka kulinganisha BRAND na Radio Mbao?? Hahahahaha.
Mbaya zaidi mjadala uliopo hapa sio kuhusu Clouds lakini kwavile watu wanaiwaza Clouds kwa kila wanayopiga ndo maana haishangazi kuona watu wanaleta suala la Clouds hata pasipohusika!
 
Ha ha haaa..chezea mhindi kwenye uchumi eeh!!! Ha ha haaa lazima wakae!!!!
Pumbaaavu kila kitu wanataka wawe wao tuu mbona kipindi kile walimfuata Jnature wakampa milioni 5 wakainunua album yake wakapiga milioni 12 huko hakuna walioongea na nature kasema ile 5 kwake ni nyingi sn kama angeuza mwenyewee asingepata hata ile 5 sasa leo mhindi ananunua movie kwa keshi anaamua yeye kuuza kwa kiasi gani unapiga kelele tena mwambieni akae kimya akijifanya kujua namfuata huko huko mjengoni kwanza amrekebishe mmewe na fiesta au wale sio wasanii...PUMBAAVU
Steps uza hata jero tuu !!!
 
Mkuu chige maelezo yako yamenizamisha katika tafakari nzito, sasa nina wasi wasi. Huwa nakata tamaa niwasikilizapo vinara walioikamata hii tasnia ya filamu, maelezo yao huwa yanatosha kunihakikishia kuwa wamepwaya sana katika kile wakifanyacho. Tasnia imeshikwa na watu wa kariba ya aunt Ezekieli, Wema, Uwoya na wengineo! tutanatarajia nini kutoka kwa watu hawa?

Hao ndio tuwajuao na ndio tunaowasikia kila siku kupitia media mbali mbali. ajabu ni kwamba huku mtandaoni mpo akina chige ambao pasina shaka yoyote mnaonekana kuijua na kuielewa vizuri sanaa pamoja na makando kando yake yote. Mna kila kitu tunachokihitaji katika tasnia yetu hii ambayo kwa sasa ipo ICU.

Wasi wasi ni "JE MNAPATA NAFASI HUKO JIKONI?" Au mnachukuliwa tu kama wakuja mnaotaka kuchukua ulaji wa watu?

Nina hofu isijekuwa makanjanja wameimiliki sanaa hata kuwanyima nafasi ninyi mnaonekana mna tiba muafaka ya magonjwa kadha wa kadha yanayoisumbua tasnia yetu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu dawa yenu, ondoa wasi wasi, i hope ipo siku mambo yatatengemaa!

Umehoji tutarajie nini ikiwa washika dau wenyewe ni akina Wema, Uwoya, Aunt Ezekiel & Co! Anyway, sijui hao umewaweka katika kundi lipi maana ake wote hao ni waigizaji na pia ni waongoza na waandaaji filamu! Kama unawaweka kwenye kundi la waigizaji, baso ondoa hofu... wote hao ni waigizaji wazuri! Tatizo kubwa la filamu zetu hapa sio waigizaji bali ni waandishi wa script na ma-director! Lakini kwa upande mwingine, ukiniuliza kati ya waandishi na ma-director tatizo kubwa hapo ni nani basi nitakuambia ni waandishi... in short hatuna waandishi.

Tatizo lingine ambalo ni pasua kichwa ni professionalism... huwezi amini lakini ukweli ni kwamba, filamu nyingi wakifika location hata kama script wanayo, usishangae ukakuta inawekwa kapuni. Angalia tu hata dialogue kwenye filamu zetu, unajua kabisa kwamba haikuwa imeandikwa bali mtu anaongea tu kutokana na scene husika ndo maana utakuta wanaongea lot of nonsense wakati kazi moja kuu ya dialogue ni kuipeleka filamu mbele...
 
Last edited by a moderator:
awa mabongo muvi inabidi waboreshe kazi zao kabla ya kumlaumu steps, muvi zao ni mbovu ndio maana muhindi ana ujasiri wa kuziuza buku....ubunifu zero wakiona Bill Cosby marekani kacheza picha za uchi nao wanaigiza.....pia mindset ni tatizo lao kubwa hawa-think big wapo wapo tu akili zinafanana.
 
Last edited by a moderator:
We ndo chizi kabisa... unaonekana umekalilishwa na wajinga wenzio. Yaani unataka kulinganisha BRAND na Radio Mbao?? Hahahahaha.

Sikiliza ndugu yangu. , unaijua E FM kwanza wewe??? Sasa kwa taarifa yako hiyo ndio radio inayoongoza kusikilizwa kwa sasa hapa jijini dareslam. Sasa sijui wewe uko wapi.. Kama bado unasikiliza hao wavuta bangi na mashoga na wasagaji wa clouds fm utajua mwenyewe..
 
Hebu tuondolee ushuzi hapa na propaganda zako... nyie ndo mlikua mnaipigia chapuo eti ni radio ya jaydee ili mpate huruma za wasikilizaji? Kwa taarifa yako hakuna anayesikiliza huo ushuzi wa e-fm jina lenyewe mmekopi e-tv ya marekani ndo mnataka msikilizwe na vibwagizo vyenu vya comedian mkude simba?

Tuliishobokea mwanzoni imefunguliwa ila baadae watu wakaikimbia baada ya kuona na wao ni wachovu kama wachovu wengine wa hapa bongo.

Niambie kipindi bora walau hata kimoja ambacho unaweza kukiweka mzani mmoja na vipindi vya clouds kikabalansi? Zaidi imebaki kusikilizwa na kutetewa na ma-haters wachache wa clouds kama njia ya kujifariji.... ni wachovu waliofulia, hawana tofauti na radio kwizela ya warundi wa ngara.
 
Back
Top Bottom