Zamaradi Ajifungua...........

Zamaradi Ajifungua...........

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Na Shakoor JongoMtangazaji wa Kipindi cha TAKE ONE cha Clouds TV, Zamaradi Mketema juzikati alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Aga Khan na kumshukuru Mungu kwa kuutua mzigo huo salama.Akichonga na Ijumaa hivi karibuni jijini Dar, Zamaradi alisema kipindi chote cha ujauzito wake kuna waliodhani angejifungua kwa operesheni lakini Mungu amekuwa upande wake.“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kuniwezesha kujifungua salama kwa njia ya kawaida. Nafurahi kumpata mtoto huyu wa kiume na huu ni mwanzo wa maisha mapya,” alisema Zamaradi.Mtangazaji huyo amejifungua zikiwa zimebaki siku chache kwa wasanii wa filamu Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na Shamsa Ford nao wajifungue.

Zamaradi ajifungua, amtangulia Shamsa, Thea - Global Publishers
 
No ndoa, no mume but mtoto dili weng kama yeye hawatki kuolewa, kisa kubanwa. Madem wengine bana wanataka pepo wanaogopa kifo. It meas ndoa
 
No ndoa, no mume but mtoto dili weng kama yeye hawatki kuolewa, kisa kubanwa. Madem wengine bana wanataka pepo wanaogopa kifo. It meas ndoa

Bongo ikiingia tabia ni wote wanaiga duh watu full kuzaa yaani kuna demu mmoja nilisomaga nae udsm akazaa na jamaa kampangishia sinza so juzi juzi wameachana demu karudi kwao na mzigo wa mtoto na hana ajira no kipato cha kumtunza kid, mwingine kazaa na jamaa alafu alikuwa hampendi so akiwa na mimba wakaachana so mtoto atakuwa bila malezi ya baba na mama na wengine kibao ndo imekuwa style bongo duh kazi ipo!
Kwa style hii hata ukimwi hautaisha cz kavu kavu nyingi sana
 
No ndoa, no mume but mtoto dili weng kama yeye hawatki kuolewa, kisa kubanwa. Madem wengine bana wanataka pepo wanaogopa kifo. It meas ndoa

But she is free to do it... to do.. to do... to do...
 
Rugay Mutahaba ndie anaesemekana kua baba wa huyo kid

SOURCE:Michuzi blog
 
Back
Top Bottom