Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Kitendo cha bashite kuvamia na akagoma kuomba radhi ila hbr zake zinarushwa kama kawa kimefungua milango ya maadui wa ruge kumthreat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wa wanawakeWanaume tunamoyo saaaaana aiseeee.. sasa zamaradi nae kuzaa watoto wawili na mtu ambaye anajua ni wakupita tuu khaa
Jamaa fala kinyamaJamaa zembe sana badala ya kutafuta vitoto vibichi kabisa kitaa hata mimba havijatoa anaenda oa hyo mwenye watoto wawili kisha kesho anakuaga anawapeleka watoto kwa baba yao akawasalimie
Hata kama ni BEN 10 wameshaamuwa kutupia photos na video basi watuonyeshe sura pia tumwone...au na yeye tutamuona baada ya HONEY MOON....maana kama watoto wa mastaa wa bongo wanafichwa sura zao hadi 40,, hao wana ndoa iweje mume afichwe sura?Ni Serengeti boy
Sio mtt wa w/m ni mtt wa ndugu wa w/mAnaolewa na mtoto wa waziri mkuu Majaliwa,amesema inatosha bac,nampongeza sana,ukiona hapaeleweki just move on
Yesu alishafufuka,tunasuniri arudi [emoji2]yule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....
Anadhani ndoa ni Degree ndio maana wachungaji wanalalamika siku hizi rate ya ndoa kuvunjika imeongezeka! Vijana wanaweka masharti ya kisomo na kazi kwa wanawake kama vigezo, wakiingia ndani hawana chemistry, hawafanani hata tabia au hobby moja tafrani tuUmeandika upuuzi uliojawa na uvivu wa kufikiri, relax andika point
Kwa mwanamke anaejitambua hawez kuzalilisha uchi wake kisa analinda maslah yake mkuu...Hujaelewa mkuu....jifunze kusoma uzi mzima...nimekwambiya vishawishi na pia mazingira ya kazi...hivi boss akikutaka ..ukakataa..unadhani nini kinafata kama sio kufukuzwa kazi?hakuna anayependa kuona ofisi nzima bosi anawachanganya..lakini hawana jinsi...kulinda maslai yao...
Don't take it seriously Bro/Sr. Wengine tumetoka night shift. Hapa JF tunarefresh tu. Na kupiga soga. Tusubirie bibie kumponda jamaa kuwa ni KIBAMIA. "Kuna majina mapya, kil mmoja amenipa wanaiita KIBAMIA, pasua kichwa x2.......Umeandika upuuzi uliojawa na uvivu wa kufikiri, relax andika point
Umeshabadilisha mada.Umeoa? Tuanzie hapo maana naweza kuwa najadiliana na mtu ambae hajawahi kuona na kuziishi changamoto za ndoa! Unadhani kupenda watoto wa mwanamke tu inaleta furaha ya ndoa?
Hahahahaha am not a man... so you know best... can't argue hapoHiyo akili unayo wewe kuna watu nyege zinawapeleka vibaya anaweza kuoa hata changudoa
Asilimia kubwa ya single mothers wasiotaka kurudia makosa huwa na msimamo huo.Inawezekana alipewa sharti la kutomuonja hadi aoe na jamaa akajivika mabomu
Hapa hata bila kuambiwa.Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Mkuu hao ni 1% lakini 99% wanaliwa labda iwe anafanya kibanda cha tigo pesa ..lakini AJIRA YA MAANA nani ataitupa?wengi huishia humo....na huwezi kujuwa...hyo ni PROVED 100% mkuu....Kwa mwanamke anaejitambua hawez kuzalilisha uchi wake kisa analinda maslah yake mkuu...
Kwa ilo wapo baadh nawatetea n ushahd upo wa ktosha,
Ni ujanja ujanja tu ukiona hivyoMbona bwana harusi anafichwa sura kama anaolewa yeye?
Ruge kutooa miaka nenda rudi mbona hamlisemi..??muachenii Zama kwa raha zakee...Furaha haina formula ila huwa kuna factors zakuangalia kabla ya kuoa sijasema haiwezekeni kupata furaha na single mom, hiyo ndoa Ruge atakua hakwepeki kuwa mzimu unless Zama aache kazi CMG haihitaji hata degree kuliona hilo! Maana nyumban kwako yupo kwa damu yake na wife akienda job yupo naye, Huo utafiti wa ndoa za masingle mom kuolewa sana kuliko wasiozaa umeufanyia mkoa gani?
Ndio mkuu ila na wao wanakuwa Cheap mno.Hakuna anayependa kutembea na bosi wake,,bali wanapewa mazingira magumu, ,masharti magumu na vishawishi mpaka BUMUNDA LINALIWA mkuu....tena huyo zamaradi ndy official inajulikana alikuwa na uhusiano na RUGE...lakini wake zetu huko maofisini ni kama tumewaolea wao hao mabosi...na hii ni PROVED 100% no doubt...wanawala sana tu...ni wangapi wake zao hawawapi UNYUMBA kwa KISINGIZIO KAZI NYINGI? leo nimechoka sana mume wangu...UKISHA AMBIWA HIVYO ,,elewa ilikuwa zamu ya bosi KULA BUMUNDA LA MKEO....mkuu hawa wanawake tuwaache tu wafanye kazi...lakini ukiingia kwa undani unaweza ukaamua kumpumzisha kufanya kazi mkeo...