Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Kitendo cha bashite kuvamia na akagoma kuomba radhi ila hbr zake zinarushwa kama kawa kimefungua milango ya maadui wa ruge kumthreat
 
Jamaa zembe sana badala ya kutafuta vitoto vibichi kabisa kitaa hata mimba havijatoa anaenda oa hyo mwenye watoto wawili kisha kesho anakuaga anawapeleka watoto kwa baba yao akawasalimie
Jamaa fala kinyama
 
Ni Serengeti boy
Hata kama ni BEN 10 wameshaamuwa kutupia photos na video basi watuonyeshe sura pia tumwone...au na yeye tutamuona baada ya HONEY MOON....maana kama watoto wa mastaa wa bongo wanafichwa sura zao hadi 40,, hao wana ndoa iweje mume afichwe sura?
 
Umeandika upuuzi uliojawa na uvivu wa kufikiri, relax andika point
Anadhani ndoa ni Degree ndio maana wachungaji wanalalamika siku hizi rate ya ndoa kuvunjika imeongezeka! Vijana wanaweka masharti ya kisomo na kazi kwa wanawake kama vigezo, wakiingia ndani hawana chemistry, hawafanani hata tabia au hobby moja tafrani tu
 
Kwa mwanamke anaejitambua hawez kuzalilisha uchi wake kisa analinda maslah yake mkuu...

Kwa ilo wapo baadh nawatetea n ushahd upo wa ktosha,
 
Umeandika upuuzi uliojawa na uvivu wa kufikiri, relax andika point
Don't take it seriously Bro/Sr. Wengine tumetoka night shift. Hapa JF tunarefresh tu. Na kupiga soga. Tusubirie bibie kumponda jamaa kuwa ni KIBAMIA. "Kuna majina mapya, kil mmoja amenipa wanaiita KIBAMIA, pasua kichwa x2.......
 
Umeoa? Tuanzie hapo maana naweza kuwa najadiliana na mtu ambae hajawahi kuona na kuziishi changamoto za ndoa! Unadhani kupenda watoto wa mwanamke tu inaleta furaha ya ndoa?
Umeshabadilisha mada.
 
Uzuri naona zama hajakurupuka kabisa honcho alichokifanya ni sahihi kwake
 
Hiyo akili unayo wewe kuna watu nyege zinawapeleka vibaya anaweza kuoa hata changudoa
Hahahahaha am not a man... so you know best... can't argue hapo
Inawezekana alipewa sharti la kutomuonja hadi aoe na jamaa akajivika mabomu
Asilimia kubwa ya single mothers wasiotaka kurudia makosa huwa na msimamo huo.
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Hapa hata bila kuambiwa.

1. Ndugu wanahusika.
2, zama amekwenda kwa mtu ambaye ukiangalia "status quo" IPO vizuri pia.

3, Na aina ya maisha na maadili aliyonayo Zama ni rahisi kuchagua MTU mwenye career itakayomfanya ajisikie amani rohoni.

Unapopata MTU WA disco versus MTU mwenye majukunu mengine. Ni rahisi Ku guess wapi Zama Ange opt Kama mwanamke anayetaka mwanaume WA ndoa.

4. Mwanaume anayebadilisha dini kwa ajili ya mwanamke, bila kujali a in a ya dini. Things don't work that way always.
 
Kwa mwanamke anaejitambua hawez kuzalilisha uchi wake kisa analinda maslah yake mkuu...

Kwa ilo wapo baadh nawatetea n ushahd upo wa ktosha,
Mkuu hao ni 1% lakini 99% wanaliwa labda iwe anafanya kibanda cha tigo pesa ..lakini AJIRA YA MAANA nani ataitupa?wengi huishia humo....na huwezi kujuwa...hyo ni PROVED 100% mkuu....
 
Ruge kutooa miaka nenda rudi mbona hamlisemi..??muachenii Zama kwa raha zakee...
 
Ndio mkuu ila na wao wanakuwa Cheap mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…