Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo RugeKwani huyo jamaa hapo sio kamanda Ruge?
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Hatujui sura imefichwa tutaujua ukweli
Hahahahaaaa one of the smartest shades I've seen in JFNenda jukwaa la kilimo na biashara kuna fursa nyingi za Maendeleo.
Huyo ni mtoto wa waziri mkuu ka kamata fursaKwani huyo jamaa hapo sio kamanda Ruge?
Ruge ana status gani ya ajabu.... we unamjua uyo aliyemuoa ni nani?Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
wewe hili jukwaa halikufaiDaah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Mm nashangaa watu wanavyoshangilia kweli, hii ni aibu kubwa kwa kijana mwenzetu huyo.Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
umerahisishiwa na JF kuna platform nyingi hujaziona za kilimo, biashara? ur in wrong position nduguDaah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo