Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Mkuu una muda wa kupoteza ase,ila na mimi nimepoteza muda kusoma pia,,ha ha haaaaaa
Ha ha ha ha mkuu lazima tuwe "multi-purpose",hii dunia lazima ujuwe habari za huku na kule ili isikuache!Mimi haya mambo nayaongelea tu humu,lkn nyumbani nakuwa mkali kidogo kwa watoto ili kuwaonyesha kuwa si mambo nayopendezwa nayo na si mazuri.

Kwa hiyo huwa "napoteza" muda kuyasoma na kufuatilia ili kuwa updated tu na mambo ya "kidunia"
 
Nilivyomsikiliza huyu binti leo kwene kipindi cha TAKE ONE cha ZAMARADI nimeshangaa ni jinsi gani kuna watu mishipa ya aibu imekufa na mishipa ya kujitambua imepiga short binti anajisifia umaraya na ukahaba tena anawataja aliowahi tembea nao clouds TV au mmpenga kutuharibia watoto wetu wawe maraya na makahaba kama huyo mtu wenu mmekosa mtu wa kumuhoji si bora mngeita hata wakulima wangetufundisha kitu kuliko kuja kupromote UKAHABS leo CLOUDS TV mmefeli kama siku mliyoleta jishoga
Samahani Mkuu,naomba tofauti Kati ya Malaya na Kahaba! Plz.

Au Kahaba anagawa mpaka 0713? Huku Malaya akigawa mbele tu kwa lengo LA kujipatia Riziki?
 
pamoja na yote ila sauti ya gigy naipenda sana sipati picha ukiwa unamuelekeza njia afike "mt klm"
 
Achana na Giggy.Huyo ni kahaba namba moja Tanzania.
Sijawahi ona mwanamke akijisifia kutembea na wanaume kibao lkn hili li gigy mmmh limenishinda tabia harafu aonekana anapenda pesa tu kwa nay wa mitego kasanda
 
Samahani Mkuu,naomba tofauti Kati ya Malaya na Kahaba! Plz.

Au Kahaba anagawa mpaka 0713? Huku Malaya akigawa mbele tu kwa lengo LA kujipatia Riziki?
Umesema riziki [emoji88][emoji83] dah yale ya kipeku yamerejewa na kijungu mweku
 
Mtu na mdogo wake wanaangalia take one ya clouds TV.

1470777933291.jpg
 
exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
Shida ni kuwa huyo host anatoka na bosi wake ambae ni kiwembe(TOPAZ),anatamani kujua kama nae kampitia,ni ujinga.
Zamani radio yao wakati inaanza walikuwa wanaiita"EDU-ENTERTAINMENT"radio station,na falsafa hiyo nilisikia wameihamishia kwenye TV,sasa monitors wa maudhui ya matangazo yao hawaoni kuwa ipo kupromoti ushoga na umalaya?au ndiyo BURUDANI NA ELIMU YENYEWE?
 
Back
Top Bottom