mwarabuwadubeii
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 661
- 651
Then you must be a good teacher ...nooo!!I can't coz mi ni mzazi wa mabinti wawili!
Ha ha ha ha mkuu lazima tuwe "multi-purpose",hii dunia lazima ujuwe habari za huku na kule ili isikuache!Mimi haya mambo nayaongelea tu humu,lkn nyumbani nakuwa mkali kidogo kwa watoto ili kuwaonyesha kuwa si mambo nayopendezwa nayo na si mazuri.Mkuu una muda wa kupoteza ase,ila na mimi nimepoteza muda kusoma pia,,ha ha haaaaaa
Namuomba Mungu sana kwa hilo!!!Then you must be a good teacher ...
Samahani Mkuu,naomba tofauti Kati ya Malaya na Kahaba! Plz.Nilivyomsikiliza huyu binti leo kwene kipindi cha TAKE ONE cha ZAMARADI nimeshangaa ni jinsi gani kuna watu mishipa ya aibu imekufa na mishipa ya kujitambua imepiga short binti anajisifia umaraya na ukahaba tena anawataja aliowahi tembea nao clouds TV au mmpenga kutuharibia watoto wetu wawe maraya na makahaba kama huyo mtu wenu mmekosa mtu wa kumuhoji si bora mngeita hata wakulima wangetufundisha kitu kuliko kuja kupromote UKAHABS leo CLOUDS TV mmefeli kama siku mliyoleta jishoga
Sijawahi ona mwanamke akijisifia kutembea na wanaume kibao lkn hili li gigy mmmh limenishinda tabia harafu aonekana anapenda pesa tu kwa nay wa mitego kasandaAchana na Giggy.Huyo ni kahaba namba moja Tanzania.
Umesema riziki [emoji88][emoji83] dah yale ya kipeku yamerejewa na kijungu mwekuSamahani Mkuu,naomba tofauti Kati ya Malaya na Kahaba! Plz.
Au Kahaba anagawa mpaka 0713? Huku Malaya akigawa mbele tu kwa lengo LA kujipatia Riziki?
RUGE MUTAHABAMume wa zamaradi ni nani vile?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo manzi anatoa risiti... Serikali isije ikawa inakosa mapato wakati anafanya biashara kubwa.
[emoji23]Uyu Giggy anatakiwa apewe machine ya EFD
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu na mdogo wake wanaangalia take one ya clouds TV.
Hii Habari baada ya kuisikia nimebaki kuchekaKibonde wa clouds kashangilia habari ya mtu aliyefumwa akizini na mbuzi clouds wametozwa million 5.
Kama nayo hii ni burudani labda Mimi ni mshamba wa burudani.
Shida ni kuwa huyo host anatoka na bosi wake ambae ni kiwembe(TOPAZ),anatamani kujua kama nae kampitia,ni ujinga.exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
IRAN&AFGHANSTANAngeshitakiwa kwa kosa gani?
Na ni nchi gani hizo ambako huyo Zamaradi angeshitakiwa na kupigwa faini?